

Written by AdminNovember 7, 2026
Sababu noti za Sh1,000 na Sh2,000 kuchakaa mapema
Habari za Hivi Punde Article
Dar es Salaam. Wakati noti zinazoingia katika mzunguko zikitarajiwa kutumia mwaka mmoja na nusu kabla ya kubadilishwa tena, noti za Sh1,000 na Sh2000 zinatajwa kuharibika ndani ya miezi 11 pekee chini ya muda uliopangwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kufika.
Hiyo ni kutokana na shughuli nyingi za Watanzania kutumia noti hizo katika manunuzi ya bidhaa na huduma za gharama ndogo, jambo linalozifanya kubadilishana mikononi mwa watu wengi kwa muda mfupi ikilinganishwa na noti za thamani kubwa kuliko zile za Sh5,000 na Sh10,000.
You may also like


Zungu: Uwekezaji siyo kuuza nchi
November 7, 2026

RC Sagini ataka vijana kuchangamkia mikopo ya Serikali kujiajiri
November 7, 2026

Leave a Reply