

Written by AdminOctober 27, 2026
Video za wahitimu kidato cha nne zawaibua wadau
Habari za Hivi Punde Article
Dar es Salaam. Pengo katika malezi. Hiyo ndiyo tafsiri ya wadau wa elimu na malezi kuhusu vitendo vya baadhi ya wanafunzi wa kidato cha nne kuchana madaftari na sare za shule na kutoa kauli tata baada ya kumaliza kufanya mitihani ya kuhitimu kidato cha nne.
You may also like

Tanesco yatekeleza agizo la Ndejembi la Novemba 15
November 24, 2026

Chadema issues conditions before reconciliation
November 24, 2026

Joto kali linavyoongeza hatari ya sumu ya chakula
November 24, 2026

Leave a Reply